lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nobleryhmes – trust nobody

Loading...

[intro]
aaaaaaaa sheeeee
paul maker on the beat

(verse1)
back to skuli nilikuaga nina wana
walijifanya kunipenda kisa nina rap sana
smoke weed tukaunda mpaka na chama
ila nilipokufail ma niqqar wote walinikana

hata kitaa nilikaaga na masela
tulifanyaga mbanga za kutisha ili kupata mahela
tuliuzaga white kush sometime mpaka mapera
ila mwisho wa siku walinichoma nikaenda jela

baadae kidogo nikaja nikapata mchumba
nilimpa kila kitu kwanzia nguohadi mavumba
ila mwisho wa siku uchumi ulipoyumba
akaondoka na kitu alichokiacha tu ni chumba

that why i ain’t trust anybody no more
nikipata kidogo wanamyamyua mdomo
ma life like a movie j~po yako slow moo
coz kila nnapotaka kuacha najiambiaga lemme goo

lemmie gooo
nnavyospit hard like a sh~t kwenye choo
so aggressive nikiweka bars kwenye flows
maana nikiwa booth nachowaza me ni doo
(chorus)
trust n0body
ndo utatimiza ahadi
maana wengi fakers
wengi wanafake look loooo loooveee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...