lirik lagu nimekuzoea – mbosso
[verse 1]
hujaacha tobo
uliloniachia ni bonge la tundu
sina nyendo
mama kaninunia
nahisi gundu
nakunywa gongo
najisaidia nguoni aibu
uuh mwalongo
kitanda changu ndio chooni
wewe ndio sababu uuh
[bridge]
butuu mobimba nazolela
naumia sana nimekuzoea
butuu mobimba nazolela (mama aah)
naumia sana nimekuzoea
hhhmm ndoto za ajabu
kichwani unakuja wewe
sura yako
nishasomewa vitabu
bado vinasema wewe
nikifa maiti yako (yeee eeeh eh)
[chorus]
ayayaya ayaya
na machozi hayataki kauka
ayayaya ayaya
nafuta kushoto kulia yashuka
ayayaya ayaya
na machozi hayataki kauka (mama)
ayayaya ayaya
[verse 2]
utamu wa nanasi
ghafla huwa mchungu sana
ukinywa maji
baby w-ngu wasiwasi
nani kakuficha mama
rudi basi (uuuh)
tajiri wa uzuni
machozi kw-ngu (bwerere)
upepo wa firauni
umemk-mba ngedere
mf-koni mbuni
vichenchi chenchi (njenjere)
uuh namaliza sabuni
mdomo koma (kelele)
[bridge]
butuu mobimba nazolela
naumia sana nimekuzoea
butuu mobimba nazolela (mama aah)
naumia sana nimekuzoea
hhhmm ndoto za ajabu
kichwani unakuja wewe
sura yako
nishasomewa vitabu
bado vinasema wewe
nikifa msiba wako (yeee eeeh eh)
[chorus]
ayayaya ayaya
na machozi hayataki kauka
ayayaya ayaya
nafuta kushoto kulia yashuka
ayayaya ayaya
na machozi hayataki kauka (mama)
ayayaya ayaya
[outro]
moyo una malengelenge
moyo w-ngu eeh (malengelenge)
nahema kwa shida (malengelenge)
biashara yangu ya mapenzi (malengelenge)
hasara si faida (malengelenge)
maazoea (malengelenge)
nimekuzoea (malengelenge)
aaaah ah (malengelenge)
nimekuzoea
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yekaa – bermuka dua
- lirik lagu depeche mode – personal jesus (acoustic)
- lirik lagu little limbo – rich
- lirik lagu armands – ievads
- lirik lagu boony toons – jewicide homocide (ft. young t-roy)
- lirik lagu yung van – text me when i’m sober
- lirik lagu grizzy vendrix – no chance
- lirik lagu milan knol – internet song
- lirik lagu mohammad reza shajarian – saz va avaz 2 doud-e oud
- lirik lagu $hine$hine – there is no end