lirik lagu neshry trapan – naughty
chorus
marapper hujiona naughty naughty
chini ya waba ni holy
ati we hukua ma molly aje
na we hucheza na dolly
we hujifanya gondi hmm
na ulioshwa ka huoni
mandem alirushwa kwa lorry
sorry
buda boss usiworry
verse 1
drill imeingia kwa damu
yesu alikufia dhambi zangu
siwezi kuwa double crossed
nangoja kuwa na kw~ngu
then niende watamu
ama ni land uko lamu
peng ting ni watatu
mali safi sio kiatu
kula pause uh
wananieka on toes na hawajui me na tiptoe
niko track na kiptoo
n~ggas don’t prolly know
me ive been drilling since i was four
naingia kwa four door
then nashuka ka gordon
naingia kwa four door
then nashuka ka gordon
chorus
marapper hujiona naughty naughty
chini ya waba ni holy
ati we hukua ma molly aje
na we hucheza na dolly
we hujifanya gondi hmm
na ulioshwa ka huoni
mandem alirushwa kwa lorry
sorry
buda boss usiworry
marapper hujiona naughty naughty
chini ya waba ni holy
ati we hukua ma molly aje
na we hucheza na dolly
we hujifanya gondi hmm
na ulioshwa ka huoni
mandem alirushwa kwa lorry
sorry
buda boss usiworry
marapper hujiona naughty naughty
chini ya waba ni holy
ati we hukua ma molly ajе
na we hucheza na dolly
we hujifanya gondi hmm
na ulioshwa ka huoni
mandеm alirushwa kwa lorry
sorry
buda boss usiworry
marapper hujiona naughty naughty
chini ya waba ni holy
ati we hukua ma molly aje
na we hucheza na dolly
we hujifanya gondi hmm
na ulioshwa ka huoni
mandem alirushwa kwa lorry
sorry
buda boss usiworry
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu surfaces – on time
- lirik lagu lungskull – noob music
- lirik lagu david shawty – log house
- lirik lagu our fifty states project – oklahoma
- lirik lagu 488 otto – late at night
- lirik lagu nenad cvijetić – maske
- lirik lagu 637godwin – begone
- lirik lagu shouryajackr – icee
- lirik lagu jeleel! – attention!
- lirik lagu lil yachty – alien