lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nedy music – homa ya jiji

Loading...

katoto kako~mukide
kwa body yemi alade
kitandani ni shikide

nishike nikushike weee…

mi moyo w~ngu taabani kwako
huwezi maisha sihami kwako
nivute kotekote utokapo
ukisema wewe hakuna mwingine

mi moyo w~ngu taabani kwako
huwezi maisha sihami kwako
nivute kotekote utokapo
ukisema wewe hakuna mwingine

vya ndani ananata kinoma.
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona
vya ndani ananata kinoma.
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona

(ahaaa! mmmh)

vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona
vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona

(ahaaa! mmmh)
unanipa vitu vya moto (aaah)
kwako nimepoa (aaah)
unanipa mi vya moto
eh eh h…

me love unachofanya, unakoleza
me hata dira nsha poteza
chochote kw~ngu we ongeza
(yeeee eh ehh)

usipende kiki~kiki, ujue penzi utapoteza
wana~fikiki, mbele wataja jikweza
kiki~kiki, ujue penzi utapoteza
wana~fikiki, mbele wataja jikweza

vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona
vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona

(ahaa! ahaa! aahaaa!!!)

vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona
vya ndani ananata kinoma
nisifa kwenye mechi utakoma
akizungusha mguu maradona

(aha! ahaa ahaaa aaa! aaaah)
unanipa vitu vya moto
(aaahhha)
kwako nimepoa
(aaahhha)
unanipa mi vya moto

goma la jiji umeliwasha
vuta nkuvute kitu kimenasa
goma la jiji umeliwasha
vuta nkuvute, kimenasa

goma la jiji umeliwasha
vuta nkuvute, tumenasa
goma la jiji umeliwasha
unanipa vitu vya moto (aaah)
kwako nimepoa (aaah)

goma la jiji umeliwasha,
unanipa vitu vya moto (aaah)
kwako nimepoa (aaah)

goma la jiji umeliwasha
unanipa vitu vya moto (aaah)
kwako nimepoa (aaah)

gogo on the beats


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...