lirik lagu ndung’u mbithi – mara ya mwisho
Loading...
[verse 1]
sikujua ilikua mara ya mwisho
kukuona
mara ya mwisho
kuonana
ningejua ningekuk~mbatia zaidi
mara ya mwisho
juzi niipitia ma area
tulizokua tukuienda
pamoja
nalia moyoni kwani
sikujua ilikua
mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
~phone ringing~
[verse 2]
ulienda bila onyo
haukusema hautarudi
ulienda bila kusema ya kwamba
ni mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
~crying~
“the person you have called is not reachable. we will notify you when the mobile subscriber is back. if you wish to leave a voice message then please do so after the tone.”
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu neutro shorty – siempre aquí
- lirik lagu kidd gohann – crushing on you
- lirik lagu smith boy ha – depois da queda
- lirik lagu alipasha – navar maghz
- lirik lagu woo (우원재) – used to
- lirik lagu retch – record it
- lirik lagu tipp – vandalize
- lirik lagu lance & linton – best time right now
- lirik lagu the bridge city sinners – virgin sacrifice
- lirik lagu tyler1 – sickest alive (freestyle)