lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nay wa mitego – story

Loading...

story yah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah

subra subra ya vuta kheri
true love true love maisha safari
moyo w~ngu tulia usitamani vya watu
eh mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
j~po napitia msoto
bado naamini nitapa kesho
uwende ikawa spesho
nitapata vifuta jasho
nakuipata pepo
duniani ni changamoto

yaaah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah
yaaah
story yah
story ya life yah
namuamini mungu najawa naimani yeh
shetani ashindwe ee
hiki kijipu uchungu mapema nikitumbue
nawapenda ila naogopa ngoma
yoo singida dodoma
napambana ugali usije goma
visenti vya maindi ya kuchoma
kualala njaa nishazoea
bado namini nitatoboa
biashara ni ya kharanga
na naishi nyumba ya kupanga
nakukata tamaa haija tokea
muda ukifika mtanisifia
never never never never
keep fight don’t lose hope
wake up wake up wake up wakе up
don’t be lazy be shape
moyo w~ngu tulia usitamani vya watu
eе mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
j~po napitia msoto
bado naamini nitapa kesho
uwende ikawa spesho
nitapata vifuta jasho
nakuipata pepo
duniani ni changamoto
yaaah
story yah
story ya life yah
ni story story yah
story ya life yah
story story yah
story ya life yah
yaaah
story yah
story ya life yah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...