lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nay wa mitego – michano

Loading...

intro]
call 911. kuna vita mura. vita

vita ni vita mura
iwe bunduki au sime
wakubwa wakigombana
shika jembe kalime

[verse 1]
weka mikono juu
tusali sala ya mwisho (amen)
waambie kwamba siogopi vitisho
sisapoti ujinga na sipendi miyeyusho
haya matusi au mabisho
mi nawaona wao mwisho

naona masikini amepata
matako y~n~lia mbwata
amesahau alikotoka
na kuhara kama bata

wamesifiwa mbio wamepitiliza kwao
najua mwisho wa movie lazima itakula kwao
mambo yanabadilika pita kwa page ya mange
siku hizi anaposti umbea mambo ya kisenge
wananitafutia sababu ilimradi wanifunge
naomba niwak~mbushe mi msanii sio mbunge
unasema shabiki yangu alafu unanitukana
shabiki mandazi kamshabikie mamako

[chorus]
wanangu mmemisi nini… (michano)
nini? (michano) nini? (michano)
s~m~ni mnataka nini… (michano)
nini? (michano) nini? (michano)
hakika mmemisi nini (michano)
siwasikii? (michano)
siwasikii? (michano)
s~m~ni mnataka nini (michano)
nini? (michano)
eti nini? (michano)

[verse 2]
bongo flavour sio movie wadanganyia
wacheni ujinga
siku hizi kila malaya wa mjini anataka kuimba
hawana nguvu za kiume vijana wengi wa bongo
jongoo hapandi mtungi mpaka atumie cha mgongo
wanangu mmemisi michano
sio bolingo la chakacha
waambie hii imetoka ipo ingine inafuata
dada zao wananambia (ney hunaga show mbovu)
si mmekula sabuni haya toеni mapovu
najua hamfiki mbali
hizo ni mbio za kuku
mitandaoni mbembwe nyingi
kwenyе show hamna kitu
kama hupendwi hupendwi tu
shabiki shangwe hawakupi
mwenzako nashangiliwa
ata nkikisifia chuki
mara ooh nafanya kazi nzuri
ila nahisi naibiwa
okey unaifanya nakukunyonya
kwani we una maziwa
unasema shabiki yangu
alafu unanitukana
shabiki mandazi
kamshabikie mamako

[chorus]
wanangu mmemisi nini… (michano)
nini? (michano) nini? (michano)
s~m~ni mnataka nini… (michano)
nini? (michano) nini? (michano)
hakika mmemisi nini (michano)
siwasikii? (michano)
siwasikii? (michano)
s~m~ni mnataka nini (michano)
nini? (michano)
eti nini? (michano)

[outro]
vita ni vita mura
iwe bunduki au sime
wakubwa wakigombana
shika jembe kalime
free nation


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...