lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nay wa mitego – ipo sawa

Loading...

yeah, the true boy
is in the building
its a 966 baby

leo tuna kazi ya kufanya
maana naona mmejisahau sana
(free nation, bin laden)

leo nitaongea sana na pia nitawak~mbusha
maana mimi na nyinyi ni kama teja na pusha
mikono juu kama kweli we ni soldier
hii ni ishara ya kwamba tuko pamoja

hivi unajua mzee baba?
huku nenga na nandy wamerudisha mahaba
wamerudisha mahaba?
madem bwana?

tufadhili mbuzi maana utamla mchuzi
naweza k~msomesha na akakuletea makuzi
yuko wapi dogo aslay nyimbo siziskii tena
vipi kuna figisu baba mdogo wapi unakwama?

janjaro tangu uwachike ni kama kaacha mziki
sijui stress za uwoya ni mwaka je katoa hit
nipeeni namba ya wema nimshauri cha kufanya
muda wake umeshapita ila steve anamdanganya
bahati haiji mara mbili cha kufanya auze nyanya
(auze nyanya?)
haiyee! mbeya city whatsup? ipo sawa!
wazee wa mitumba mnasemaje? ipo sawa! iyee
dar city whatsup? ipo sawa!
wazee wa nondo mnasemaje? ipo sawa! iyee

kando ya ziwa haha ipo sawa!
kusini kaskazini mnaionaje? ipo sawa! iyee
moro town warrup? ipo sawa!
bajaji, boda boda mnsemaje?

yoh, namuua nyani huku namtazama usoni
ulitaka pipi nawapa nyongeza koni
sihitaji rafiki sababu sipendi unafiki
siogopi jam, washikaji zangu matrafiki

naongеa na konki, hio wewe aunty konki
unapenda kiki, unataja mashoga ka si wеwe mwenyewe shoga
ati umeokoka, umekosa hela ya viroba
001, boss toka kenya,gari ulilompa dimpoz
bro si ndo lile ulilomhonga huddah?

ganda la ndizi kalipata benpol
kasahau muziki, kaolewa 254
zimebaki bwebwe tu, kiukweli mwana ameyumba
sijui ni gundu mmakonde naye amechimba
rais wa kitaa, kipenzi cha masela
baba yaga, kamanda nawarusha mpaka jela
haiyee! mbeya city whatsup? ipo sawa!
wazee wa mitumba mnasemaje? ipo sawa! iyee
dar city whatsup? ipo sawa!
wazee wa nondo mnasemaje? ipo sawa! iyee

kando ya ziwa haha ipo sawa!
kusini kaskazini mnaionaje? ipo sawa! iyee
moro town warrup? ipo sawa!
bajaji, boda boda mnsemaje?

haiyee! ipo sawa!
haha naomba niwak~mbushe kitu
kuna tofauti mbili ya bouncer na body guard
yoyote anaweza kuwa bouncer
ila sio kila mtu anaweza kuwa bodyguard

wazee wa nondo watsup
wanangu wa kitaa inakuwaje
wanasema utavuna ulichopanda
ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mihogo

pumbavu wewe!

eeeh..baba yaga is in the building
(eyoo ni true name)
ah mbona umemsahau menina?
acha shobo wewe hayakuhusu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...