lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nay wa mitego – hunijui

Loading...

unanijua mimi, au unaniskia?
unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia
ninachojua maneno hayavunjagi mifupa
we niseme na ukiishiwa maneno nitakupa
yaani ninavyoishi sio kama wanavyotaka wao
wanahabari zangu cha ajabu sinaga zao
hawanibabaishi hata waniwekee mikao
wacha waongee maana mdomo mari yao

mimi, ukinichukia nami nitakuchukia
mimi, usipopiga nami sitokupigia
mimi, ukibeba goma langu nabeba la kwako pia
ukichepuka nami nachepuka dear

am living my life acheni nienjoy
ukaskiza ya watu aki ya mungu hutoboi
am living my life acheni nienjoy
ukaskiza ya watu aki ya mungu hutoboi

unanijua mimi, au unaniskia?
unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia

asubuhi mzigoni, jioni tunakula beer
kama hunioni sikuoni
ukiniona nakuona pia
unga unga mwana ndo maisha ulozoea
unajifanya nunda mwenzako nishabobea
ukileta mdomo uswazi ndo nakotokea
haya leta hadithi zako utamu kolea

wanashangaa navimba na sina hata mia
na sio kama ni ushamba
ila ndo maisha nilochagua

am living my life acheni nienjoy
ukaskiza ya watu aki ya mungu hutoboi
am living my life acheni nienjoy
ukaskiza ya watu aki ya mungu hutoboi

unanijua mimi, au unaniskia?
unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia

am living my life acheni nienjoy
ukaskiza ya watu aki ya mungu hutoboi
yeah yeah yeah yеah, ah yeah yeah yeah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...