lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nay wa mitego – chini

Loading...

oya oya k~mekucha wazee
fifika ka busy wa bucha wazee
tule ujana hatufiki uzee
pesa inatongozwa ukiwa domo zege

kwani mayai bwana na ifunuliwe
mama amekaa vibaya usiyachungulie
wakubwa tunasema mtoto halali na pesa
ukichunguza mambo yangu utakufa na presha

hii ni mazoea kabla hujaniomba msamaha
nasamehe tu
dunia duara usishindane na ulipotoka
hio haikomolewi bwana, mwenyewe utachoka

haya weka, weka weka weka
weka weka weka
haya kamatia weka weka weka weka
weka weka weka

chini kwa chini nasema chini kwa chini (chini)
chini kwa chini wanangu chini kwa chini (chini)
chini kwa chini nasema chini kwa chini (chini)
chini kwa chini wanangu chini kwa chini (chini)

chini, chini, chini, chini
wakipeleka chini waisubirie juu
maisha mazuri na bado sina makuu
mtanuna mwisho mtasusa
si mmeanda tofali mje kujenga ufa

shida wote tunazo na bado tunabanjuka
tushamtukana mamba na mto tunaouvuka
trеni imeanguka, mpira umepasuka
ushajijua una kipara unataka kusuka

hizo chuki zako ni bure
huwеzi kuwa mimi kafie mbele
utakuua wivu we ngendele
tushazichanga changa njoo tule

haya weka, weka weka weka
weka weka weka
haya kamatia weka weka weka weka
weka weka weka

chini kwa chini nasema chini kwa chini (chini)
chini kwa chini wanangu chini kwa chini (chini)
chini kwa chini nasema chini kwa chini (chini)
chini kwa chini wanangu chini kwa chini (chini)

chini, chini, chini, chini

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...