lirik lagu nandy – unanimaliza
kimambo, on the beat
hili huba, limenisafirisha mazima
kwenye dunia yangu mi na wewe
tuwe wote mi na wewe
halitofubaa, mbali si’ tutafika lazima
na kwenye moyo w~ngu upo wewe
tuwe wote mi na wewe
yaani kichwani nakuwaza wewe
naona najiingiza mazima
nini umenipa wewe?
ona midadi inaniita
nina imani nikiwa na wewe
napona hata bila kupima
nini umenipa wewe?
ona midadi inaniita
na nilivodidimia, unachuchumia
penzi lako nipe we
vile unang’ang’ania, mi napenda pia
unafanya nilewe
unanimaliza
unanimaliza
unanimaliza
unanimaliza
aahhh
lody music on this one
ninapumilia mipira
nitapokukosa nitashindwa hata kufikiri
nakuwaza we, unaniwaza mi
penzi linapata mavuno
unavonipenda mpaka raha
mi natoa posa siwezi kufanya siri
nataka kuwa na we, unataka kuwa na mi
w~nga wanawashwa mikuno
yaani mpaka raha
napendwa~nalishwa~naogeshwa~navishwa nguo yaani mpaka nampenda
na~ninavoaminishwa~kabisa~kwamba~chaguo lake kabisa kanipenda
napendwa~nalishwa~naogeshwa~navishwa nguo yaani mpaka nampenda
na~ninavoaminishwa~kabisa~kwamba~chaguo lake kabisa kanipenda
unanimaliza
unanimaliza
unanimaliza
unanimaliza
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu malosh – the vow
- lirik lagu spectre (rapper) – drew a picasso
- lirik lagu ripghosty – falling so easily
- lirik lagu helio rex – rising sun
- lirik lagu do1r star – с утреца по раньше (from morning to earlier)
- lirik lagu j mascis – budge (the black session)
- lirik lagu pacman da gunman – money power gold 2
- lirik lagu marss (tur) – dünyadan marsa
- lirik lagu nadson o ferinha – a cena
- lirik lagu jalisa – same for you