lirik lagu nandy – mchumba
kaniweza mimi mi kwake
muoga kunguru nifanyeje ajue
nitakufa mimi baby roho yangu
inusuru nifanyeje ujue
nikuhonge au aaah
nikuposti au nikupe mmmmh au aaaah
nikuhonge au aaah
nikuposti au nikupe mmmmh au aaaah
mchumba unataka nini mchumba (aiyeke iye)
roho unataka nini (aiyeke iye)
mchumba unataka nini mchumba (aiyeke iye)
roho unataka nini roho (aiyeke iye)
kidege kinaondokaaa
kidege kinaondokaaa aiya yayaa
kinaondokaaa aiya yayaaa kinaondokaa
shi kshu kshi shi shi kshi kshu
kshi kshi kshi kshi kshu kshi kshi
kshi kshi kshu kshi kshi kshi
mwenzenu nampenda nampenda sana
akiniacha mnizike mje mnizike
ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike
nikuhonge au aaah
nikuposti au nikupe mmmmh au aaaah
nikuhonge au aaah
nikuposti au nikupе mmmmh au aaaah
mchumba unataka nini mchumba (aiyeke iye)
roho unataka nini roho (aiyеke iye)
kidege kinaondokaaa
kidege kinaondokaaa aiya yayaa
kinaondokaaa aiya yayaaa kinaondokaa
shi kshu kshi shi shi kshi kshu
kshi kshi kshi kshi kshi kshu
kshi kshi kshi kshi kshu kshi kshi
kidege kinaondokaaa
kidege kinaondokaaa aiya yayaa
kinaondokaaa aiya yayaaa kinaondokaa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu cheeso – feel me
- lirik lagu american teeth – a wake
- lirik lagu coisdead – б (b)
- lirik lagu ikaabeille – toute la ville
- lirik lagu mme6 – obo mne
- lirik lagu ljk (ita) – dejavu
- lirik lagu grant stevens – i spy for love
- lirik lagu ama ka’rin – love song (cover)
- lirik lagu seksi & cunami flo – geto varijante
- lirik lagu milan psiho – nocci colombia