lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nandy feat. bill nass & mr eazi – party

Loading...

chupa limeamka na chai au sio
ned
touch

the african princess

leta divai, mixer mvinyo (ah leo)
nione maisha vile yalivyo
′taka nifurahi na my people (ah leo)
pombe kali mixer bibo

ya nini nijibane, shida zote za nini?
nitafute kwa taabu niile kwa taabu kwanini?
acha nitukane (nani?) tena kwa kujiamini (ah yeah eh)
kama pesa ya kw~ngu maisha ya kw~ngu my baby, eh

call me when you ready (eh, eh~eh~eh)
i just wanna get ready (oh, oh~oh~oh)
venye uko s~xy sijiwezi (eh, eh~eh~eh)
you are the only one my baby (oh, oh~oh~oh)

i need you on bed
leo nitakuwa mbezi
(baada ya club, kwani zile two in one)
home kinyamwezi

leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro (ah woo)

(leo sisi hatulali) mpaka giza totoro
(oya wana hatulali) tunapita kila chochoro

be my only i want your body (ah leo)
tuone maisha vile yalivyo (ah leo)
i play my sh~t a million jale (ah leo)
pombe kali mixer bibo (ah leo)

ona my girl she need truck
mpe baba dry ila ganja mpe mixer
ona mashetani napandisha
nishauza godoro na ile neti ilochanika

hii collabo ina baraka ni princess na mimi
tunabring oldschool na kina prince madini
nashangaa watoto wadogo wana battle na mimi!
kila kitu ruhusa watasema ni speech ya mwinyi

wazimie data maana watawasha vpn
mi nadhani hakuna jipya ila wao ndio wageni
mashokolo mageni, watoto jipangeni
hakuna msoto bila brain
nauza miko mikocheni

leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro (ah woo)

(ah leo)
(ah leo)
(ah leo)
zaga what?
zaga dat!

you know say i get the stamina
bongo chocho zote si’ tunapita
mh, you know say i get the stamina
bongo chocho zote si′ tunapita

leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro (semaga)
leo sisi hatulali mpaka giza totoro
oya wana hatulali, tunapita kila chochoro

ah, woo…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...