lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nandy & aslay – mahabuba

Loading...

oh nasikia raaaha nikiwa na wewee
nasikia raaaha nikiwa na wewee
oh baby nasikia raaaha, oh baby eeeh…

weka shuka kwa kitanda
tuje tulale mama
naomba ulale na kanga
mana nimeku~miss sana

tunanenepa mamaa
j~po pesa hatuna
wanaumia sana
kila wakituona

eti wanauza vocha
cha ajabu wana beep beep tu
wanatamani ningekuacha
wanaona wivuwivu tu

ehh nakuita nandy ndindii
wanataka kukuteka washenzi
hawajui mimi nawe toka enzi
tabia zao wala sizipendi

kitumbua ukitia mchanga
nitaumbuka mwenzako
tafadhali usijekunitenda
watanizika mwenzako

kuna vicent navichangachanga
nitakupa mwenzako
kuku nimenasa kwenye tenga
sina pupa mi niwako

ungejua sisemii, silali
kwakovile sihemii
wewe ni ndo kiboko yangu

mahabuba nyongo
nyongo mkalia ini
sinaga mwingine baba
nyongo nyongo mkalia ini

shida yangu kukuona mzima baba
njaa sio tatizo
kama shida tumezoea sana baba
tangu enzi hizo

wache waparki ma~range
nimependa bodaboda iyee eh
ongeza mapenzi sitakuja kuk~mwaga baba eehh
chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh
uniletee boga ninapo~miss burger iyee ehh

j~po wengi wanaumia
wakituona ng’aring’ari
wanatamani furaha yetu
hawapendi kushuhudia

tunavyo zidi kwenda mbali
wanaitamani furaha yetu eeh
majutoo majuto ni mjukuu nikikuacha
na mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa

ungejua sisemi silali
kwako vile sihemi
wewe ndio kiboko yangu

mahabuba nyongo
nyongo mkalia ini
sinaga mwingne baba wee
nyongo nyongo mkalia ini
zidisha mahaba mama
nyongo nyongo mkali ini
nakupenda nyongo nyongo mkalia ini

wale walepale wanakupigia misele
basi mimi na wewe
tusiishi kama kambale kila mtu devu

lala lalaa lala la la mpenzi lala
usiniacheee, deka deka aaah nadeka mie
mpenzi deka weeh

lala lalaa lala la la mpenzi lala
usiniacheee, deka deka aaah nadeka mie
mpenzi deka weeh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...