lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu naiboi – sondeka

Loading...

usibishane na babu wewe
tunasondeka iyee, tunasondeka
hii ni tamu bwana kama wali wa mn~z~
tunasondeka iyee, tunasondeka
rixx(matatizo)
tunasondeka iyee, tunasondeka
ah naiboi
tunasondeka ooh lord, tunasondeka
tunarekebisha
tabia ya kuagiza pombe
na si wewe unalipa(tunasondeka)
unakuja date na mabeste zako na sijawaalika
njaro za kuingia chumbani mw~ngu
na mlango hujabisha (tunasondeka)
unang’ara ndula zangu un~z~posti kwa insta
umenivalia wiggy tamu k~mbe ndani ni matuta
ah k~mbe haga feki, tulidhani una figa

si watu wana tabia mbaya
si muko na matabia mbaya
si watu wana tabia mbaya
si muko na matabia mbaya
tunasondeka iyee, tunasondeka
ikileta shida
tunasondeka ooh lord, tunasondeka
tunarekebisha
tunasondeka iyee, tunasondeka
ikileta noma
tunasondeka ooh lord, tunasondeka
tunarekebisha
amelala mpaka saa tisa ni kama kw~ngu ni kwao
na ng’ombe saba na mbuzi sita sij~peleka kwao
si uliambiwa shimoni moto, mbona sasa unawika?(unachomeka!)
tukaambiwa ni shoti moja we ukichocha ni sita
ambia huyo politician next time akituona(kitaeleweka!)
tangu tukuseti mca, mtaani uko mia
si watu wana tabia mbaya
si muko na matabia mbaya
si watu wana tabia mbaya
si muko na matabia mbaya
tunasondeka, tunasondeka
maisha ya vipindi
tunasondeka aha, tunasondeka
takataka labish
tunasondeka yeah, tunasondeka
ati sambaze nieke beti
tunasondeka aha, tunasondeka
break it down down down
waambie nimekam ah naiboi nimekam eeh
mbogi ya kenya imekam
waambie tumekam na ubaya tumekam eeh
mbogi ya kenya imekam
waambie nimekam ah naiboi nimekam eeh
mbogi ya kenya imekam
waambie tumekam ah naiboi nimekam eeh
wanaofanya wengi wanaojua wachache
tunawalainisha!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...