lirik lagu nadia mukami – jipe
verse 1: (nadia mukami)
kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia
nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia….
sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaaa aaah
tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aaah
picha kule kule, watapata taabu saaana…
macho mbele mbele, ananipenda saanaaa aaah
(pre~ chorus)
hakuna pingamizi kwetu
hakuna madrama huku kwetu
hatuna maneno huku kwetu
tunapendana kikwetu…
chorus:
aka kamoyo kangu nijipe…. nijipe….
ukinipenda sana nijipe….. nijipe..(x2)
verse 2: (marioo)
mmmh
mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai… kweli…
uh.. ndo nishazama usinipige kipapai honey
mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai… kwelii…
uh… ndo ushakwama unachotaka sikatai honey
najua bado huamini haya yamekua..(yamekua ehh)
acha siamini…
(pre chorus:)
si hakuna pingamizi kwetu
hakuna madrama huku kwetu
hatuna maneno huku kwetu
tunapendana kivyeeetuu…
(chorus)
aka kamoyo kangu nijipe…….. nijipe..
ukinipenda sana nijipe……nijipe (x2)
verse 3:(nadia mukami)
mapenzi malove nawe, iwe shida au raha nitaponda nawe…
nataka kapicha nawe… k~mbusho pale tumetoka naweee
siamini leo ni mimi nawe (uuuuuh mama) ni mimi na wewe
hizi pesa nitafute nawe (uuuuuuh mama) nitafute na wewe
lemme call you my dear
this love is real not bandia
if i love you hutakimbia
coz my love is real not bandia
(pre~ chorus)
hakuna pingamizi kwetu
hakuna madrama huku kwetu
hatuna maneno huku kwetu
tunapendana kikwetu…
(chorus)
aka kamoyo kangu nijipe…….. nijipe..
ukinipenda sana nijipe……nijipe (x2)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu burning image – what do you want from me?
- lirik lagu sonny eclipse – bright little star
- lirik lagu marcos vine – a minha razão
- lirik lagu elo314 – mmxx
- lirik lagu lend me your ear – quarantine
- lirik lagu lyricalgenes – dreams to reality
- lirik lagu brotherly – front row
- lirik lagu porno wolves – renegades
- lirik lagu danilo ordoñez – qué bueno es mi dios
- lirik lagu overstreet – die