lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mwanafa – hata sielewi

Loading...

faaalsafaa
falsafa hommie
samaa
are you listening?

verse i;
bonge la mtoto/bonge la zigo/
naamini sioti coz naipenda hii ndoto/
sitoi boko/na naamini hayuko soko/
ntamvisha pete leo leo/
sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video/
ananikaanga roho/ananisaga moyo/
sipo sawa akili imevurugwa nayo/
nilikuwa poa tu kabla hatujakutana/
gangster kama mimi hakuna/
hana wasiwasi anatembea kama hataki,anajivuuta/na kila hatua ina nukta/
kiuno cha nyigu/rangi ya kinugu/
nashangaa maujuzi ya mungu/
hakuna kovu hakuna sugu/
maswali bila ya majibu/

hook:
so unafanya nionekane chizi/
hata sielewi nini la kufanya/
akili hazifanyi ka zimekufa ganzi/
hata sielewi naona nyota mamaa/
where you coming from?/
hata sielewi/sielewi/
where you coming from?/
hata sielewi/sielewi/

sielewi sielewi eeh,eeh
sielewi sielewi eeh,eeeh

verse ii;
sielewi lugha nyingine/
macho yamegoma hayaoni kiumbe mwingine/
huyu ntakopa ntaazima/ila lazima/
ninyooshe mji mzima/
acha moyo unibebe unipeleke unapotaka/
ntarudi siku ukitaka/
im all in,im fallin’/
maskio yataniziba akiniita darling/
moyo unanienda mbio,naisoma namba/
mwili mlaini utasema aliumbwa kwa pamba/
hana chale hana shanga/
mimacho imentoka ile kishamba/
sina hakika ni chiicha au ganja za zamani/
ila ana siifa za kuitwa mwandani/
tuchangie shuka,tuchangie majina/
nimshike mkono niende nae dunia nzima/

hook

maua;
umetokea wapi kwani?/
na umetumwa na nani?/
umekuja na uganga wa wapi?/
nilikuwa sawa kabla sijakutia machoni/

sielewi sielewi eeh,eeh
sielewi sielewi eeiiih,eeeh

hook

hata sielewi naona nyota mamaa
hata sielewi naona nyota mamaa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...