lirik lagu muddah – kwani(prod by curious)
[verse 1]
bado tunadunda tu ( ehh)
bado tunaruka (bado tunaruka)
bado inatoka lifetime tu
bado zangu haziwezi shuka ( nah)
bado tuko kwa beat ya curious na bado hizo shash zinanuka
bado niko na yule darksin girl namptupia malugha (itakuwaje?)
[hook]
bado mi hudunda kila siku kwani? ( aki walai)
bado mi hustash hizi vitu kwani? (sheesh!)
bado mi husag hizi toja kwani? (kwani nini?)
na bado mi humada hao marapper kwani? (bang’ bang’)
kwani kwani kwani
kwani kwani kwani
kwani kwani kwani
kwani kwani kwani
[verse 2]
mara tuko house party
mara tuko club
mara tuko kwenye gari
mara tunawasha kwenye cab
mara tunachoma kitu imefanya tukaf-kuzwa na mabouncer
mara tuko na polisi anauliza swali maze hazina answer
but i’m still here
and you still there
and i still got the vibe this moment is so rare
and i still got the ride baby why don’t we go there (vroom!)
bado mi hudunda kila siku kwani? (kwani nini?)
bado mi hustash hizi vitu kwani? (kwani?)
bado mi husag hizi toja kwani? (boss)
bado mi hurep two-three kwani? (kwani nini?)
[bridge]
yeah
kwani nini maze? kwani nini boss?
bado si humada hii stuff yaani (hatutambui sh-t buda)
cheki
break it down
[hook]
kwani kwani kwani (kwani nini?)
kwani kwani kwani (kwani?)
kwani kwani kwani (kwani?)
kwani kwani kwani ( iko nini?)
kwani kwani kwani (haah!)
kwani kwani kwani (kwani?)
kwani kwani kwani (yeah)
na round hii sio mchezo buda
kwani kwani kwani
kwani nini?
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu da gudda jazz – че гевара
- lirik lagu all is left – stronger than all
- lirik lagu falcom sound team jdk – in adventure world/pic【「イースii」より】
- lirik lagu 杨坤 – 梅兰梅兰我爱你 伴奏
- lirik lagu kaan tarıman – istanbullum
- lirik lagu deal casino – bare hands
- lirik lagu el matador – hookah
- lirik lagu patron – sürgün
- lirik lagu val donato – lágrimas de crocodilo
- lirik lagu astek – sweter, lustrzanka