lirik lagu moipei quartet feat. miriam makeba – pole musa
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu io – 明天的聲音
- lirik lagu fauziah latiff – alam ceria
- lirik lagu girls’ generation – flyers
- lirik lagu gary white – vamos chivas, a ganar!
- lirik lagu mike stanley – donde tu ta
- lirik lagu hell’s happy heathens – joy to ourselves!
- lirik lagu ñejo feat. dalmata – dile a tu amiga
- lirik lagu blessthefall feat. lights – open water (feat. lights)
- lirik lagu malay – halina
- lirik lagu villancicos populares vol.2 (popular songs) – los campanilleros