lirik lagu moipei quartet feat. miriam makeba - pole musa
Loading...
musa nimevumilia sana
musa nimevumilia sana
kupigwa pigwa kama mimi punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku musa taabu… taabu… taabu
kweli musavuliponioa
sura yangu, haikuwa na alama hata moja
nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige
kweli musa, uliponioa sura yangu, haikuwa na alama hata moja nilikuwa na afya nzuri
nilinonakama ngoima ya kirige oye, oye
tafadhali musa tafuta bibi atakayeweza kuvumilia hizo tabia zako
ukinywa pombe wamnywia yeye ukinywa munyeke wamnywia yeye pole… pole… pole.
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu jonny zywiciel - everything
- lirik lagu k. s. chithra feat. k. j. yesudas - kannamoochi
- lirik lagu p. susheela - neevunde daa kondapai
- lirik lagu the slackers - thank you
- lirik lagu roy orbison - oh pretty woman (single version)
- lirik lagu baustelle - live
- lirik lagu chris brown - make love (royalty)
- lirik lagu t.a.t.u. - russian version
- lirik lagu neil diamond - i'm a believer
- lirik lagu the shawnee - desert