lirik lagu miriam makeba – malaika (live)
[intro]
we’d now like to take you to tanzania
[verse]
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
ningekuoa mali we, ningekuoa dada
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
pesa zasumbua roho yangu
pesa zasumbua roho yangu
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
kidege, hukuwaza kidege
kidege, hukuwaza kidege
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
ningekuoa malaika
ningekuoa malaika
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu rjldiablo – three in the mornin
- lirik lagu sealow – luna e marea
- lirik lagu xaniar – gelofen
- lirik lagu toasty digital – runaway (black hippy freestyle)
- lirik lagu wigwam (fin) – gray traitors
- lirik lagu the magic numbers – sing me a rebel song
- lirik lagu blackfoot – huntin’ for yourself
- lirik lagu cnri – put me 2 sleep (slowed)
- lirik lagu monowhales – over my head
- lirik lagu sinach – beautiful