lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso – yalah

Loading...

(ayolizer)

nimesadiki ya wahenga
penzi lina raha yake
mzigo kwa tenga
imfaacho mtu chake

denge nimekatwa ngenga
ah umate mate
najinyenga nyenga
mao mao maotate

huwaga sioni
ninavyoipanda milima
ulimi sikioni
mwili wote wanizizima

mwenzenu sioni
macho mawili yote sina
tunaanza jikoni
mpaka varandani twalilima

yalah! yalah yalah, yalah yalah
oooh yalah yalah yalah yalah
penzi limenizidia, yalah yalah
ni kubwa, yalah yalah
zito, yalah yalah, yalah yalah
tungezaliwa zamani
ningesema penzi toga
tulinywe kibarazani
tukitafuna maboga

nimekipanda uani
kibustani cha uyoga
tukishiba biryani
baby tule mboga mboga

sasa polisi wa nini?
nikikosa nikamate wewe
mahakama ya nini?
nikikosa nihuk~mu wewe

penzi chupa la balindi
tuligide baby hadi tulewe
videge shorwe vya nini?
kifaranga we nibеbe mwewe

huwaga sioni
ninavyoipanda milima
ulimi sikioni
mwili wotе wanizizima

mwenzenu sioni
macho mawili yote sina
tunaanza jikoni
mpaka varandani twalilima
yalah! yalah yalah (yalah yalah) yalah yalah
(yalah yalah) yalah yalah yalah yalah
penzi limenizidia, yalah yalah
ni kubwa, yalah yalah
zito, yalah yalah, yalah yalah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...