lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso – shetani

Loading...

uchovu wa siku nzima
nafsi nataka niipongeze
tumwagilie mtima
wauni w~ngu mjisogeze
shogoroza, unga unga mwanangu upendeze
ukitongoza, funga munda motto kamkoleze

aaaahh shetani amepita
leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
aaahh dj acha sifa
izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika
ooh salome salome
nimempenda uyo shoya yako salome
ooh salome salome
niweke niwe shem wako salome
aaaahh shetani amepita
leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
aaahh dj acha sifa
izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika

yala yala yala
yala yala yala
yala yale yala
yala yala yale (yalaa)
yala yala yala
yala yala yala
yala yale yala
yala yala yale (yalaa)
ah monday to sunday
ah ziyakhala manje
i needa trip zanzibar, needa rock kendwa rocks
needa baddie on a yacht ashante
coz i don’t want no stress (yea yea yea)
girl you rocking with the best (yea yea yea)
the titch gang never rest (yea yea yea)
this summer we the best (yea yea yea)

monate mnate
rona re batla monate mnate (monate mnate)
monate mnate
rona re batla monate mnate (monate mnate)
so let’s go party
motto w~ngu let’s go party (let’s go party)
so let’s go party
kama hakuna wasiwasi (hakuna wasiwasi)

aaahh shetani amepita
leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
aaahh dj acha sifa
izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...