lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbosso – pole

Loading...

ooh sweety sweety sweety nisikilize
sweety sweety niseme nimalize
mungu ametukanisha sweet yeeye
ana maana yake
mungu katuunganisha sweet wewe
kwa neema zake eh
i told my mama i want to marry
nitakuja kwenu nitoe mahali
mi na we tuanze safari
ya mbali kina aah
mbaazi na choroko utofauti utaujua
jungu kuu wake ukoko yanini kuukw~ngua
mie ndama kwako motto
usije kunikafua
penzi tulipashe moto
wakigusa waungua
mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana
mambo ya uzungu na usasa tunayopeana
penzi twalivujisha pakacha tunavujiana
wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama

baby nasikia twawaumiza
pole tunawapa pole
penzi lawakereketa
pole tunawapa pole
ooh hasidi watu wabaya
pole tunawapa pole
wameza panadol pengine watapoa
pole tunawapa pole
eеh
eeh eeh eeh eeh
ooh baba ba baba

sweety sweety sweety nisikilize
sweety ai sweety name nikujuzе
eeh shubiri shubiri
chungu honey
nashindwa kuficha siri
yetu ya chumbani
akili yangu na mwili taabani
eeh
penzi upepo la pepea (pepea)
honey twende mbali (pepea)
kuni nitazichochea (chochea)
baby uje kupara wali eh
mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana
mambo ya uzungu na usasa tunayopeana
penzi twalivujisha pakacha tunavujiana
wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama

baby nasikia twawaumiza
pole tunawapa pole
penzi lawakereketa
pole tunawapa pole
ooh hasidi watu wabaya
pole tunawapa pole
wameza panadol pengine watapoa
pole tunawapa pole


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...