lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbogi gwan – kautamu

Loading...

mbogi gwan mbogi gwan, overdose tanimada, ile filling ya shoti njoti kupakana long night akishika magoti koti kisofti kinjw~nga(njanga) ile feeling ya doshi moshi kupandana somehow akipiga makofi kofi mali safi k~mangwa(mangwa) aty kuna kuna utam lakini hako kautamu kautamu kuna utamu lakini hako kautamu kautamu…..niko gwanda na gwandaru zileryme za kibandu sio chocha meksa buda utanipata niko raaha (kwa mangoko wako on nawasesa bila thogh) tanipata kwa machom na kandinga kwenye koo si mashore wakamwalk niko keja mi nacheki tu madong za makiko anadai nimkat adzo gai gai anadai nimbeep adizo gai gai akidai me nasag adizo gai gai ako kafeeling walai ni katamu nikaa uko silling umeruka uko high(high high) kwanza ukishikwa ukafinywa hadi thigh kahisi umechizi umeruka uko high juu hawa magaldem ni wa kali(kali) juu hawa magalden wanapenda sally(sally) napiga koro dole chapisha kote hzo vidole lala kwa mtaro kama ni chonjo twende godoro ulambe lolo na mdomo usingizi nono aiiiile feeling ya shoti njoti kupakana long night akishika magoti koti kisofti kinjw~nga(njw~nga) ile feeling ya doshi moshi kupandana somehow akipiga makofi noisy mali safi k~mangwa mangwa kuna kautam lakini hako kautamu kautamu kuna kautam lakini ako kautamu kautam kuna kautamu lakini hako kautamu kautamu vile niko fitty utadhani kiko biet mangoko wamezibeba wanadai niwe wao mamorio washatii wameweka vichwa chini inama inuka tucheze na mangoko kwa poket nina rada dada leta rada kaka toa rysto mimi ndiye gwiji gwiji wa mangoko nimеcome na vishada vishada ziko nati zimenyeti kwеnye keja vinjoti vimetiwa chumvi kama busaa mihela zimesagi utadhani ni jeki cheki wamembao na wanadai wako single…face iko biet haga iko biet waroro wakikam leo night ni kubanju drinks na mayeng katashika tukibanju cheki wanadai pesa ama denzi hapo na kati nawasha kajaba hapo na kati nachana kajaba toto toto washakamabenxi toto toto ndakupiga denzi..bro w~ngu nambeba aki lei ako na utoto asubuhi anakunywa chai na kiporo washa mapunyeto kesho nakukembea getoh kikiwa dry paka mafuta tampla ni aluta niko njeve maveve ngwai ako madenge kautamu ime tena dada rada safi aki sultani ndie king story na makiki mi ndo ule niga aaaa si ile feeling ya shoti njoti kupakana long night akishika magoti koti kisofti kinjw~nga(njw~nga) ile feeling ya doshi moshi kupandana somehow akipiga makofi noisy mali safi k~mangwa mangwa kuna kautam lakini hako kautamu kautamu kuna kautam lakini ako kautamu kautam kuna kautamu lakini hako kautamu kautamu………by mbogi gwan


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...