lirik lagu mbogi genje – ngumi mbwegze
[intro: smady tingz]
smady tingz
ah wa do dem
ah bie baga waganis
eh, watchu know
[chorus: smady tingz]
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunasaka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
[verse 1: smady tingz]
show mrazi pigwa ruai
niko kwa warosho najinyuria na mangwai
si ndio mbogi genje, siku sicheki walai
ikifika giz, ni warazi tu na chai
yo, sitambui bl–dy f-ckin’
niko hustling, nifike njati ya cufflink
niko jabling, nashikisha tu na wabling
med ziko peak juu sinanga time ya idling
yo, look safi ni manganya nasitoka
mawikendi, mashashola na mogoka
mtatii, mbogi genje ikimochoka (mtatii)
ati sisi ndo kunyamba ka itoka
[chorus: smady tingz]
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunasaka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
[verse 2: guzman]
juu si waras, yaani tukienda bash (ras)
tunaseti shash, tuna-tuna seti shada (shada)
tunatafash mpaka wadai ni harsh (harsh)
na si waresh wamepim kwenye bash (mbogi)
juu ni makeki, mangwes watatoa cash
na wakitoa cash, nazundua shash
tunaseti hadi zitucatch
na zikishika sana, piga hata ngasha
na ukitupa staple mi ndo nitakucatch (catch)
vidole zangu sticky, ni kama nitakupinch
juu niko mboka, man, acha nitakulink
usitense, usiogope, nitakulink (oh!)
[chorus: smady tingz]
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunasaka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka sura ya kenyatta kwa walenje
[verse 3: militan]
ukimuok, warazi wanabuya
gova na wakidigi ni lagunya
dong’a gota nikuliet mashashola
senke ikiriet ni kihuti
kuwachai, kuwakata tukizied
smady, militan kuwabugda
wakimuok, hatunawuo kusafisha (hatunawuo)
wakimuok, hatunawuo kusafisha
[outro: smady tingz]
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka kichwa ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunasaka picha ya kenyatta kwa walenje
mbogi genje, si ndio mbogi genje
tunataka kichwa ya kenyatta kwa walenje
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu toilet surfers – sebelum kau mati
- lirik lagu hinz & kunz – somalia
- lirik lagu jonathan edwards – let the rough side drag
- lirik lagu alunni del sole – cielo grigio
- lirik lagu cannonball statman – strawberry ice cream cake
- lirik lagu elle coles – free fall
- lirik lagu freja the dragon – long gone girl
- lirik lagu goldee money – sommation
- lirik lagu ejx – life
- lirik lagu ezg & steen – nawoord