lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mbogi genje – ikijipa

Loading...

[intro: smady tingz]
unaweza zitoka zikingwata (zikingwata)
time ulipo, utanipata pon di gutter (pon di gutter)
mashashola zimewaka, ni mogatha
na zikikubamba unaweza chain mamorata

[chorus: dede tarshian]
bum~bum bigi, bum~bum, chiki~chaa (chiki~chaa)
puff~puff nikijam~jam, shikisha (shikisha)
bum~bum bigi, bum~bum, bum (bum)
puff~puff niki~jam~jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 1: smady tingz]
(smady tingz)
headbad toka nikuwe m~less
kaa ni tapo mi hu~patch, utadhani nfs (nfs)
nilichorea mangem, tupatane mambadeng (mambadeng)
mashashola ndio vitu tu kwa mine na~finesse (na~finesse)
diang’a songi n~z~piga shifla
na kikoro, njamu, mboka na kichizla
tunatesa, na wakoba ni waafisa
kuwashwisa, riang ficha, riang fitsa
tuko na shang, niko na gang
na mariambez wamemuok, wanadai kuzi~burn (burn)
zilipuke kaa vile zinalipuka iran
si zi~burn? hatu~mind warazi waking’am (waking’am)

[chorus: dede tarshian]
bum~bum bigi, bum~bum, chiki~chaa (chiki~chaa)
puff~puff nikijam~jam, shikisha (shikisha)
bum~bum bigi, bum~bum, bum (bum)
puff~puff niki~jam~jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 2: rix roro]
tuko na projo inafaa kuwa mbele
mbogi genje kuchachisha, si umeme
mtoto m~wide kama river kamene
napiga mpaka ~n~lia, tuko matembe
mboko tanga~tanga kaa mamende
akwende, anajiona amemea pembe

[verse 3: guzman]
guzman ndio mwenye wanamwika (guz)
na warosho zote wananiwinda (wanasaka)
watanauwo mbogi genje cha lazima (watanauwo)
leta mambo, uone ukipangwa (eh~heh)
rusha diss, tuwache unajishuku (eh~heh)
kaa na mambo, si huwaka kama nare

[chorus: dede tarshian]
bum~bum bigi, bum~bum, chiki~chaa (chiki~chaa)
puff~puff nikijam~jam, shikisha (shikisha)
bum~bum bigi, bum~bum, bum (bum)
puff~puff niki~jam~jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[verse 4: militan]
mi hu~vibe tu, ni kaa niko malego
mbogi~lise inarieng tu, ni machweng’a
mausgan zimeliet, ni mogatha
tuko nditni, ni maziwa tu kwa bori
na machaji wamekwaria mamokish
kwa lagunya, mi hubeba tu mabompa
maayiela wameliet kaa warena
tuko tifin, kila rima ni ma~rasclaat
kuwadoshwe kwa warena
dabo zangu, mi hupiga za ki~roro
ni malego, ni malego kama gwethe
haunauwo safisha, hatunauwo waganis

[chorus: dede tarshian]
bum~bum bigi, bum~bum, chiki~chaa (chiki~chaa)
puff~puff nikijam~jam, shikisha (shikisha)
bum~bum bigi, bum~bum, bum (bum)
puff~puff niki~jam~jam, jam
form ikijipa hakunauwo kulalisha (kulalisha)
zikishika, hakunauwo kusafisha (kusafisha)
kakimuok, kananauwo kuthigithwa
haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

[outro: smady tingz]
vige master, bie gangster
ah wah do slambo? dem care an do
ah wah do jamie? yu no fi see me

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...