lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu matonya – pili pili

Loading...

mi natamani moyo ungekuwa kiwanja ningekupa ujenge kama ruby, dhahabu, ndio ticket ningechimba kwa jembe

ulivyo umbika mamaa nyuma kama mlima eeh usije niacha na ndoto kwenye kona haki ya nani nitazima

mi ndo wako mtimaa maa we dumuzi nimalizee(nimalizee eeh) sitaki nikukosee we nimalize aaai

pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha) pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha)

hata ukiweka kwa maji bado tu inaniwasha ukichombeza na ndizi je? bado tu itaniwasha

penzi letu liwe siri(tarama) kuepusha majangili(tarama) wasije pora watanikili(tarama) nishinde mkono wa shavu sio dili(tarama)

nina mipango mingi nawee tokea zamani ugomvi wa simu tupa kulee kizamani

aii baby mi nawee(nichum chum) wali tupakulee(nichum chum) eh mi nawee(nichum chum) baby mpaka kulee

aii baby mi nawee wali tupakulee eh mi nawee menya ndizi nilee

pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha) pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha)

hata ukiweka kwa maji bado tu inaniwasha ukichombeza na ndizi je? bado tu itaniwasha

pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha) pilipili wewee(pilipili inaniwasha) pilipi pilipi(pilipili inaniwasha)

aii baby mi nawee(nichum chum) wali tupakulee(nichum chum) eh mi nawee(nichum chum) baby mpaka kulee

aii baby mi nawee wali tupakulee eh mi nawee menya ndizi nilee

nichum chum nichum chum nichum chum nichum chum

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...