lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu matonya – mapenzi kamari

Loading...

[chorus: ney wa mitego]
k~mbe mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
kuna wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
[verse 1: matonya]
mapenzi mtu siku hizi linapenda pochi
mapenzi ya kweli hakuna wanasaka noti
iwe mchana usiku kwenye mikakati
na nusu uchi ngoja awekwe mtu kati
mapenzi kamari yananiumiza
yananiliza mwenzenu bado niko kwa giza
lina hodari linatafuta mbesa
ukilegeza kweli watakupoteza
[chorus ]
k~mbe mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
kuna wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
[verse 2 : matonya]
mapenzi ya kweli shikamana gandamana
kwa matapeli kweli hawana zamana
kwao ni kheri ukiona mumechenga
chunga kimwari usiingie nonda
pesa sabuni ya roho ndio inaaribu mapenzi
wapendanao wachachе wanaotamani ni wengi
[ney wa mitego]
mapenzi siku hizi linapenda pochi
hakuna mgеo penzi tunasaka noti
[chorus]
k~mbe mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
kuna wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
mapenzi kamari bana wee (mazuu)
chunga usije ukaliwa bana wee
[matonya]
nasema mpende yule atakaye kupenda wee
asokupenda achana na yeye
mpende yule atakaye kupenda te ee eh
asokupenda achana na yeye
mapenzi yamekua na mingi tamaa
huyu na yule ………?
hata tonya tayari nimeshaibiwa
kisa na mali mimi sipendi kula
[matonya]
mapenzi mtu siku hizi linapenda pochi
mapenzi ya kweli hakuna wanasaka noti
iwe mchana usiku kwenye mikakati
na nusu uchi ngoja awekwe mtu kati
[chorus]
k~mbe mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
kuna wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
mapenzi kamari
chunga usije ukaliwa bana
wasichana hodari
wanaojua kucheza sana
[matonya]
ona magenge mazuri yamekua mengi uwongo
tuliza, tuliza , tuliza
mapenzi kamari ……….ee ahera
uuh lalala! wasichana hodari…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...