lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu marioo – raha

Loading...

black
-beat
aaah mmh
ah unaringa umepima aah utajijuu huu mwaka utachina si uleta unyang’au
ukaukwi kunitishia unaondok unaondok
kama daladala za kariakoo inatoka inatoka
hadharani unanisusia kuropoka ropoka
kama domo lako shimo la choo yanakutoka
na kwa taarifa yako nishapata kwa
kuegemea mh napendwa na sio kama ninavojidekea
huruka yako ya pupa mwezako
ananinyenyekea ooh kutendwa nakusikia kweny bomba
na tena na enjoy mpaka raaha mpaka mh
natakatishwa mpaka raaha mpaka
ananipaga kutwa mara tatu mpaka raaha mpaka
naogeshwa nakandwa mpaka raaha mpaka
na tena na enjoy
napenda akinipa
akinipa migandisho
kama anapigwa shoti
akisakata migandisho
na kama penzi bahari lake kwa muda
naelea maana nishazamaga nishakufa mzoga
na kama penzi melody kali mi kwake ndo
burudani wala sizani kama ataridhika kunikosa
na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana
nishapata kwa kuegemea mh napendwa na sio kwa ninavojidekea
huruka yako ya pupa mwezako
ananinyenyekea ooh kutendwa nakusikia kweny bomba
na tena na enjoy mpaka raaha mpaka
natakatishwa mpaka raaha mpaka
ananipa kutwa mara tatu mpaka raaha mpaka
naogeshwa nakandwa mpaka raaha mpaka
na tena na enjoy


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...