lirik lagu maondo and dr jay – hollaa
mhhhhhhh mhhhhhh (chechele)
mhhhhhhhh haaaaaaaa
qeen of my hurt ubavu wa kushoto maria
mende kabati unavyojilizaga mi maumia
tena walah kitanda cha moto uguria
chips karai mabanda ya watoto chunguria
(bridge)
kwanza upo simple wala auna mikogo
mwendo nyatunyatu kama una nyodo
matobo mdomoni ommy tupongo
oyeeeeeeee
kwanza upo simple wala auna mikogo
mwendo nyatunyatu kama una nyodo
matobo mdomoni ommy tupongo
oyeeeeeeee
(chorus)
mi napendaga ukicheka
hollaa hollaa hollaa
we mariaaaaaaa
hollaa hollaa hollaa
na kifuani ukideka aaaa
hollaa hollaa hollaa
we mariaaaa
hollaa hollaa hollaa
(verse 2)
baby kamatia ( mavumba)
chini shikilia (mavumba)
mkwanja namwagia (mavumba)
we ndo marikiaaaaa
nipe niongeze na vinono
nilambe kwenye unyayo mpaka meno
kila nikipiga kitu kimo ….miguno tu
(bridge)
kwanza upo simple wala auna mikogo
mwendo nyatunyatu kama una nyodo
matobo mdomoni ommy tupongo
oyeeeeeeee
kwanza upo simple wala auna mikogo
mwendo nyatunyatu kama una nyodo
matobo mdomoni ommy tupongo
oyeeeeeeee
(chorus)
mi napendaga ukicheka
hollaa hollaa hollaa
we mariaaaaaaa
hollaa hollaa hollaa
na kifuani ukideka aaaa
hollaa hollaa hollaa
we mariaaaa
hollaa hollaa hollaa
voice
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mo (rapper) – pound cake freestyle
- lirik lagu salsalino – long run
- lirik lagu alai oli – расскажи джа (tell jah)
- lirik lagu skan – sail away
- lirik lagu e-type – free like a flying demon – 7″ version
- lirik lagu marko maunuksela – kaunista ja hyvää
- lirik lagu lotfi double kanon – 7oukouma_حكومة
- lirik lagu vincent, the owl – mixtape weezy
- lirik lagu mean – cloud castle
- lirik lagu mobo – pas d’amour part.2