lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu mando – gta

Loading...

hook

first of all, jina ni mando

nimekam kuk!ll ku mada track

kuchafua rada na ku get some bills

sinanga chills

nakuanga sick nakuanga always ill

chini ya maji under water

kama msee ana ma gills

ching, chingli ~n~lia alipigwa chuma

chigli na alizama after kutaja majina za watu rong

azame chini futi tisa mahali anabelong

gta mbogi mbaya ya ma gangster na ma don

verse

mi hu spit na design

mi hupenda nikiwa inside

mi hupenda kirai nikidara io behind

mi huturn your main chick anakua to my side

mi hutake hizo change

mi hu roll the f~cking dice

friday niko base nimechill tu niko mangwai

nime chill n mdame ameweza tu amewahi

zake ni mawine zikishika ana wine

akitaka kitu mi nampea mi na mwahi

mi huwafunika kama caskett

mi huwapigisha hio bucket
diet ni ma ratchet

mi hukula kitu ina asset

kesi ka si story doh mi najua hio ni nonesence

kama we ni opp si unajua we ni target

kama si niko zone si unajua mi huw~nga danger

naingia hii beat.. naimada kama texas ranger

(naimada kama texas ranger)

hook

first of all, jina ni mando

nimekam kuk!ll ku mada track

kuchafua rada na ku get some bills

sinanga chills
nakuanga sick nakuanga always ill

chini ya maji under water kama msee ana magills

ching, chingli ~n~lia alipigwa chuma

chingli na alizama after kutaja majina za watu rong

azame chini futi tisa mahali anabelong

gta mbogi mbaya

ya ma gangster na ma don

verse

exit ni nine, kuwa maji na huwa tunapenda steam

mbogi ni rong, mtaani wanakuanga watutii

warazi though

wanadai kutuona tumevaa ma ting

aina was niko ready kutake one for the team

so far so good, bado nameke maganji na make ma doh on the low

bado na ching mafala i touch and go

mi hupenda pongi, hata ikinyesha mi hudishi raw

hii game ni tough, huezi ingia na mlango labda diro

mi ndio k!ller, na bado mi hupenda thriller

damage ni kama godzilla

nikiwa tu behind the f~cking trigger

kidungi dungi idunge

squadi leo unatuita stingers

mahater hukaza tu kunyi

tuki get ganji na duri

finish

first of all, jina ni mando

nimekam kuk!ll ku mada track

kuchafua rada na ku get some bills

sinanga chills

nakuanga sick nakuanga always ill

chini ya maji under water kama msee ana magills


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...