lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu magix enga – parte after parte

Loading...

[intro: zzero sufuri]
niaje morio unajikuna kuna
na ukiulizwa ni nini unasema ati hakuna
twende parte
(magix enga on the beat)

[chorus]
parte after parte, ah yeah
parte after parte, ah yeah
parte after parte
(man a badman tingz)
after parte, after parte

[verse 1: nelly the goon]
nyama nyama nyama(nyama)
nyama nyama nyama(nyama)
ya pum pum(nyama)
ya slayqueen(nyama)

leo niko fly ka ding’oing’o
aii buruka ding’oing’o
wika tu pzzz ka ding’oing’o
aii buruka ding’oing’o aaii

[verse 2: ex ray]
mmmh ah taniua
mmmh ah
chokora mapipa
una kiuno shakira
pigwa kuni dakira
kamote mashira
gukinya na dira
kuna poko ntafira
sina saa ya majira
mkisii hasira

teko basi pakia
kuna duff maria
ka ni vajo maria
aki gaki wachira
ka una penda za dogi
leo ni punda kazia
ka una penda za mbogi
leo malaya ghasia

[chorus]
parte after parte, ah yeah
parte after parte, ah yeah
parte after parte
after parte, after parte

parte after parte nik-mash up the place
after party tunamash up the place
parte after parte nik-mash up the place
after party tunamash up the place

[verse 3: odi wa murang’a]
niko na craving ya kishada
craving ya kishada
craving ya kijaba
craving ya kijaba
odi wa murang’a leo napeana tu
ma miti after miti
manjoti za k-mwaga eka zimwagike hapa hivi
sai tu kwa kiti
ka ni mashada n-z-washa hadharani
nipelekwe huko kamiti
dem yako amedoz kejani
namchimba toka nyuma ndo nisione fudhi

[verse 4: rekless]
ah yeah
niko ndani na shida hapa si ganji
hapa ni parte ata kama hatutaki
hadi mikate mi hukatanga na maji
makali na barley iko nini sijali
mmmh waiter leta na ufanye haraka
na hizo tako zianzange kugwara
ambia dj ma niger ni swara
kalia ridhe alafu shot namwaga
cheki liki digi ndo nikiangusha ndani
na bado nikidigi utaconfirm magizani
kama pia inabidi ngeuze dini mi ni nani
hadi marafiki manafiki ju ya punani

[chorus]
parte after parte, ah yeah
parte after parte, ah yeah
parte after parte
after parte, after parte

parte after parte nik-mash up the place
after party tunamash up the place
parte after parte nik-mash up the place
after party tunamash up the place

[verse 5: maddox]
ah ni kuingisha nisiitishe ni kimbichwa magere
ni kulima hiyo migo hadi iekewe mchele
msupa wako ni wa umati ka ni loyal akwere
apigwe mbosho na dere hadi atoe nipere

ka anawashwa na kutu apotoe upele
nikachape tu za juju nika tuko sherehe
sai ni panty after panty
ghaii, panty na kibangi

[verse 6: zzero sufuri]
eeh cheki
sound tu ya kwa redio, si ya miseto eeh
cheki design imewashika vis-xy
jina ni zzero, so incase — no
dagoretti si ndio mtaa nimetoka cheki
alafu ati napenda v-g-n-
bora iko origi si mchina
hii ni stori ya benso na maina
walikuwa wakibonga ile time wakiwa china
eeh morio kwani hupendi v-g-n-?
niaje unakaa kaa ka v-g-n-
morio kwani hupendagi v-g-n-
eeeh cheki
(magix enga on the beat)

[outro: zzero sufuri]
niaje morio unajikuna kuna
na ukiulizwa ni nini unasema ati hakuna
niaje morio unajikuna kuna
na ukiulizwa ni nini unasema ati hakuna
twende parte!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...