lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu macvoice – bora peke yangu

Loading...

(eyoo trone)
heshima na upole wako
ndivo vikanivuta kwako oh oh
tabia na mwenendo wako oh
vikanifanya nikupende eh eh

k~mbe mapenzi ni nyakati yanachanganya
yakipoteza ramani wewe
kitabu cha upendo wa dhati umechanachana
haupo kama zamani wewe

ngoma ikivuma mwisho wake hupasuka
yote ya nini tuje kushikiana chupa
wewe ukipanda kila muda mi nashuka
oh ooh oh, oh oh oh

message za watu wako na simu zako
naona ila namezea tu
najua machafu yako mabaya yako
yanachoma mi napotea tu

kugombana mi siwezi
nikwambie yote sababu ya mapenzi
tena narudisha jezi nitulie
ligi ya mapenzi siwezi
kwako wewe, bora peke yangu
nibaki pekе yangu
bora peke yangu
niishi maisha yangu

bora pekе yangu
nibaki peke yangu
bora peke yangu
niishi maisha yangu

uliweka pamba masikioni
husikii huoni ninavyoumia moyoni
purukushani asubuhi jioni
matusi mdomoni hata aibu huoni

ukadanganya unaenda sokoni
k~mbe yuko mgongoni kitandani ukingoni
una wapenzi wengine kinondoni
hadi kigamboni na kariakor shimoni

ah wee, k~mbe ni mnyama uloficha makucha
hata sura yako inakusuta
nyama ndani ngano nnje kama sambusa
barafu wa moyo umeyeyuka
(oh wo wo wo wo, oh wo wo wo wo)
hukunipenda, pengine nilikulazimisha
sawa nakwenda, j~po sina wa kuninyamazisha
huna makosa najilaumu nini?
nilikupenda kwa nini?

ona kugombana mi siwezi
nikwambie eti sababu ya mapenzi
tena narudisha jezi nitulie
ligi ya mapenzi siwezi

kwako wewe, bora peke yangu
nibaki peke yangu
bora peke yangu
niishi maisha yangu

bora peke yangu
nibaki peke yangu
bora peke yangu
niishi maisha yangu

(nusder)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...