lirik lagu leteipa the king – mwambie
verse 1
nimechoka k~meza mate, wenzangu wakila nyama
nachotamani anipakate
awe mitchele niwe obama
siku hizi nimewa chizi
kila muda nafikiria
kile mi nitampatia aingie kwa box
anajifanya busy
hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
verse 2
natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
huwa nahisi wivu , rafiki wakimk~mbatia, wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
na nina maumivu, natamani k~muambia, ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the lion’s daughter – neon teeth
- lirik lagu baek z young & cheetah – 사랑이 온다 (can you feel me)
- lirik lagu dartagnan – glücksritter
- lirik lagu ethel cain – casey
- lirik lagu flying raccoon suit – everyone else
- lirik lagu 5tan – bojack
- lirik lagu michael tippett – boyhood’s end
- lirik lagu sorrow (slovenia) – walking backwards
- lirik lagu kid lucilfer – m
- lirik lagu loveseat – burnout