lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu leteipa the king – happy birthday

Loading...

verse 1
imagine tayari nilikuwa nishasahau
kwamba leo ni siku ya kusherehekea
nivenye nimewa busy nikihustle dooh
na picha yako sitaiweka kwa mitandao
na usidhani kwamba sikuwa nacare
nivenye safcom nina deni ya soo

hook
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
nikupe wee my dear
nikupeleke uingereza
ukaone umaridadii
wa dunia
imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
happy birthday jibambee

chorus
happy birthday…eeeeeeh.uoooooh x2

verse 2
nakuombea uishi zaidi ya miaka elfu moja
ndo ujionee wajukuu wako pamoja ma vitukuuu
uwaeleze tulivyosaidiana, kama masoldier
na kutoana machozi kavitunguuu vitunguuu
hook
ningelikuwa na pesa ningekubuyia kagari
nikupe wee my dear
nikupeleke uingereza
ukaone umaridadii
wa dunia
imagine nimeshindwa, kuafford hata kagari, kakukuwishia
happy birthday jibambee

chorus
happy birthday…eeeeeeh.uoooooh x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...