lirik lagu leteipa the king – bangi na supu
#intro
iyeiyeiyeeaaaaah
ni vampk, 254
traveller done
#verse
najua uko busy na mambo zako
ila pokea simu, hata dakika mbili tu angalau
mwenzako nina chizi natupa mbao
wewe ndo yangu jibu, ama w~ngoja mazishi uchange thao
yale uliyotabiri
tayari yametimia, kwamba siwezi bila wewe
nimepigwa na baridi
ujinga umeniishia, rudi na usichelewe
#hook
mwenzako ninaghoroka
sili silali nakufikiria
kutwa ngwai na moghoka iyee
sikatai mi ni joker
fisi mlafi ila najutia
ukirudi ntaokoa
#chorus
nakuahidi, ntajitahidi
(bangi na supu)
kama na danganya kilimanjaro iniangukie
(bangu na supu)
na ukaidi, na ugaidi
(bangi na supu)
na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie
nilitupa yangu jiko, na yangu mwiko
juu nilinogewa na wali
sasa najuta kule ziko
kutwa kucha niko riko
stove na kijiko
ndio nasongea ugali
sipumui mafuriko
raha yangu ni wewe
naomba unihurumie
ukiniacha mambo yangu yataenda kombo
siucheze kiwewe
chance ya mwisho nipatiwe
wali nitaosha mpaka viombo
#hook
mwenzako ninaghoroka
sili silali nakufikiria
kutwa ngwai na moghoka iyee
sikatai mi ni joker
fisi mlafi ila najutia
ukirudi ntaokoa
#chorus
nakuahidi, ntajitahidi
(bangi na supu)
kama na danganya kilimanjaro iniangukie
(bangu na supu)
na ukaidi, na ugaidi
(bangi na supu)
na kuhanyahanya hizo njaro sio zangu mie
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu voces del rancho – macario leyva
- lirik lagu tyler burkhart – driving fast
- lirik lagu aamar – toutes sortes de larmes
- lirik lagu lorenzo fragola & mameli – happy
- lirik lagu spiky – платят (pay)
- lirik lagu haifa wehbe – wahdi | وحدي
- lirik lagu melchior franck – meine schwester, liebe braut
- lirik lagu pato fu – amo só você (io che amo solo te)
- lirik lagu juyo – игрок (player)
- lirik lagu samarchy – jester killed the king