lirik lagu kurasini sda choir – tangu nimjue yesu
Loading...
tangu nimjue yesu na k~mkaribisha moyoni mw~ngu
yalopita yamepita na kuvaa utu upya ndani yangu
sijitahabishi tena ya kale hayana nafasi kw~ngu
nimevikwa utu upya nimekuwa kiumbe ndani ya yesu
utu w~ngu wa zamani umevikwa na kuvaa utu upya
sik~mbuki ya zamani yesu yu ndani yangu
nakimbilia wokovu kwa sasa yalopita yamepita
dunia kwaheri yalopita yamepita
maisha ndani ya yesu ni raha isiyokuwa kifani
magumu hurahisishwa yatoweka kwa jinsi usivyojua
mambo yote ya zamani hayak~mbukwi tena maishani
mpe yesu moyo wako utaona yote yanawezekana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu white boy rick – sick and fighting
- lirik lagu casey neill & the norway rats – my beloved accomplice
- lirik lagu p.r2b – mama
- lirik lagu rnb bay boy – catch no fades
- lirik lagu tessa rae – r u over me
- lirik lagu gloopys – osquinn mbn cover
- lirik lagu tęskno – zza barykad (
- lirik lagu bluephanta – hit like that
- lirik lagu lil keita – 4lyfers
- lirik lagu white widow (pl) – tba