lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ksonrap – usiache

Loading...

[intro]
yeah! ksonrap
you know what i’m mean
it’s been a long time, been a long time comin’

[verse]
usiache kuongea paza sauti myonge k~mtetea;
usiache hip hip.. rap, boombap kiki na snare;
meditation usiache kula mmea;☘
maovu usiache kukemea;
usiache familia usiache kuhudumia;
vizuri usiache kusifia usiache kurudia;
vina nimejaza magunia;
mshike sana elimu usiache aende zake ndo dunia;
oyaa! junkie usiache methadone alosto inatesa vumilia;
usichanganye shule na mapenzi muda bado subiria;
ukimwi unauwa mipira usiache kutumia;
maskani wazee wakivamia usiche kukimbia ndo sheria;
akili usiache kutumia usiropoke kwanza fikiria;
usije ukajaribu kula cocainе madawa ya kulevya yana uwa narudia;
naķwambia wajane mayatima usiache kusaidia chochotе ulichonacho usichoke kuwapatia;
mkeo na watoto k~mbatia;
wajamaa kwenye hatari usiache wakaangamia;
kwenye vita mazuna mapanga majambia;
wabunge ahadi za kampeni bado hazijatimia wananchi msiache kuulizia;
katiba mpya msiache kuikazia;
maovu msifiche nyuma ya pazia hakuna ku underfear;
azana imeshalia kwenye ibada usiache kuudhuruia;
usiache kuhutubia ujinga umaskini na maradhi wengine wanashapotea;
wengine wamefungwa chuki tu segera;
nina mengi tu nikiwa booth siachi kuelezea;
mi ni traveller siachi kutembea kujionea;
kijijini mkulima anateseka bei ya pembejeo na mbolea;
na bungeni mbunge anasinzia;
mafisadi wazidi kutuibia sio fear;
naumia natamani ata kulia;


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...