lirik lagu ksonrap – chawa pt2
Loading...
ksonrap
yeahh
chawa!!!
[verse 1]
chawa amepanda bei
sikuhiz anaishi obei
itakushangaza kuona chawa amenyonga tai
anapanda pipa anaenda na boss safari za dubai
sikuhiz chawa anajidai chawa umaskini bye bye
k~mshauri et ache uchawa ni kosa la jinai
hivi ni kweli boss bila chawa hatoboi
sikuhiz chawa sio tena goigoi
macheni cheni mixer mavikoi
siri ya chawa na boss hatuijui
tulimsema sana ila kwaboss mahaba hayapungui
anakata uno zaidi h baba konde boi
huyu chawa promax ni hatarl
mdananda costumer care au natali
wanamuita doto mzee magari kazi yake kuu ni udalali
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu louilexus – love hearts
- lirik lagu vesna zmijanac – zar bi me lako drugome dao
- lirik lagu el proyecto – la enseñe a fumar
- lirik lagu dan garcía – tirando flow sesh #12
- lirik lagu angeles (cub) – tu cama
- lirik lagu putak – eshghe siyasi
- lirik lagu flavio paulin – autostar
- lirik lagu larry white – peace love & unity / man
- lirik lagu ashthatkidd – nokia
- lirik lagu kid187 (tr) – nedenler