lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu kilimanjaro band – gere

Loading...

wimbo…. gere
the kilimanjaro band

gere mama gere mama

gere mama gere mama

wananionea ya gere

watausaga mtama na waubwie wenyewe
nguo ya kuazima haisitiri mwili

nguo ya kuazima haisitiri mwili

yale niliyokuambia sasa yameshakufika

yale niliyokuambia sasa yameshakufika

fahari ee ndiye mama wa ujinga

fahari ee ndiye mama wa ujinga

wewe mtu wa mia wataka elfu nne

dau lako la mia wataka elfu nne

kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka

kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka

umejisahau kapu la uyoga mjima ee

huwa halibebi nyama

wewe mtu wa mia wataka elfu nne
dau lako la mia wataka elfu nne

kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka

kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka

yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

wapita ukiringa na ukijitapa kwa kitenge changu mwenzio

yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

kitenge changu cha thamani nimekitoa mbali mwenzio

yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

ninavyokithamini na kukihifadhi we wakifuja mwenzio

yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

kama unaweza tafuta cha kwako niache changu mwenzio

yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

gere mama gere mama
gere mama gere mama

wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe

gere mama gere mama

gere mama gere mama

unanionea ya gere utausaga mtama uubwie mwenyewe

mama mkwe njoo nikuambie yaliyonikuta

kwa mke mwenzangu

kamwambie mume w~ngu

anipe talaka badala yake ameachwa yeye

yuko wapi kibiritingoma wenzangu

katw~nga mpunga

amepeta pumba

amepika wali kala mwenyewe

gere mama gere mama

gere mama gere mama

gere mama gere mama

gere mama yangu ee

gere mama yangu ee

ya ya yaya yaya yaya yayayaa

sheba sheba sheba

sheba sheba sheba sheba

sheba sheba sheba

sheba sheba sheba sheba

iko wapi kibiritingoma wenzangu

ametw~nga mpunga

amepeta pumba

warumba chee (chee)

warumba henya (henya)

lete vitu

gere mama gere mama

gere mama gere mama wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe

gere mama gere mama

gere mama gere mama

unanionea ya gere

utausaga mtama uubwie mwenyewe

gere mama gere mama

gere mama gere mama

gere mama gere mama

gere mama yangu eeeee

gere mama yangu ee

ya ya yaya yaya yaya yayayaa

sheba sheba sheba

sheba sheba sheba sheba

warumba mpo (tupo)

sheba sheba sheba

sheba sheba sheba sheba

iko wapi kibiritingoma mwenzangu

katw~nga mpunga

amepeta pumba

warumba chee (chee)

warumba henyaa (henyaa)

lyrics by chamazi music record label


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...