lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu k son rap – wanapenda (ft. bundi skrt)

Loading...

wanasema wanapenda nikirap../wanapenda kuskia kwenye interviews nikichana capella mbona fresh tu../siongei sana kama chiriku..kirikuu..kila siku tuna party kama sikukuu../scoobydo..wapenda kuniskia kwenye radio stereo../ wanapenda kuniona kwenye video..wanapenda navyoflow..kama chid go..chid soo mad flow.. kad go../wanapenda penda navyo score..kwenye stage kwenye show..wanapenda nikipewa ata collabo../mpaka majogoo yani kama dingo jungle..watu w~ngu wanapenda navyo shine wananipa tu michongo../wanao hate sina hata kinyongo..mkinibana fan’s wataandamana na mabango..yote nisababu ya mapendo../

wanapenda navyospit..wanapenda navyonata juu ya beat../kama nyani juu ya miti..wanapenda harakati..wote tunapenda haki../naipenda africa..naipenda ngozi nilivyo black../i do it for the love kama pac..hatua kama nyati../nawapenda mashabiki..naipenda hiphop inapendwa rais../huu upendo ni wadhani bila chuki..paparazzi wananapenda info zangu kila siku kwenye front page../wanapenda kuniona kwenye stage..only god can judge../wanapenda na vyoswitch kilasiku naji upgrade../


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...