lirik lagu k son rap – sitabiriki
nimebobea kwenye beat kama rap scala..bongo nai to kampala..natisha nipo very deep kama ziwa chala..ngumu ku impress hii medula..hii mistari hela n~z~gawa kama bank taller..siitaji wakunimanage sio tale wa fela..king of best melody kama bella..nachimbua rap archeology sina peace na mawaki nimewatupa jela..zingatia itifaki uhuru ni wa bendera..waliosema watadumu wapo hoi kwenye machela..n~z~di kuyatupa makombora..africamashariki mkokenya mkombola..kada kwenye chama zaidi ya pala..natawala…hizi level hawafiki wafupi kama mwala..hili chimbo hasmati ameyatimba rockarfella..leo umenikuta kwenye ubora..kwenye chati kama dollar..thriller in manila..pisha kwenye barabara nimejaza vina kama abiria kwenye daladala za mbagala..hauna stamina kiuwezo wao bado nikabwela..dula makabila..nawacontrol kama drug dealer..mi ndo silent k!ller..sio mikwara wasaliti nawatoa tu kafara..mwendokasi ruti ndefu kama mbezi ya kimara..a luta continua.. nilipotoka ni majanga na misala
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu oscar brand – the bastard king of england
- lirik lagu c4pri – cry about it
- lirik lagu on the outside – act like you don’t
- lirik lagu regula – conway
- lirik lagu the betrayed kingdom – deer in the sun
- lirik lagu skabzemortal – nahmean | 2021
- lirik lagu tricky youth – promises
- lirik lagu milk & honey – all over my body
- lirik lagu tsunnova – rage
- lirik lagu peaky renz – sos