lirik lagu k son rap – ndoto ya mchana
[intro]
yeah ksonrap
this one right here is for the people
yeah, let’s go
[verse]
ajira hakuna tunasuk~ma mikokoteni../wanasiasa baada ya kampeni wameingia tu mitini../bila hata kandili wametuacha tu gizani../kila kitu wametupiga pini wanasingizia vita vya ukreini/vitu vinapanda bei madukani..nachokisema nikweli wala sio utani../mfanya biashara wan~z~funga tu mizani../shekhe msikitini anakosa hela yakununua hata ubani../hakuna anaetoa sadaka kanisani hatuna hata mbuni../hakuna madawati watoto wanakaa chini mashuleni../sare zao zimetoboka matakoni../wabunge wao wanasinzia tu bungeni..wametuacha kwenye mataa hali duni../wanaishi zao tu mijini tuvyoishi ni kama mateka tu vitani../hakuna madawa hospitalini majisafi hayatoki mabombani../wanapitisha tu kokeni mateja wan~z~di tu kujaa uswahilini../hadi lini? magendo yanapita tu bandarini../hatupo hata makini wanasafirisha makinikia watuambia sio madini../nyie kopeni siegii anatuambia yanaongezeka tu madeni../watetezi wote wapojela wanakesi za uhaini../waliponea chupuchupu walikimbilia uhamishoni../
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yaz (uk) – mr valentine
- lirik lagu aaron may – how i am
- lirik lagu liquidd.luv – hqd
- lirik lagu vermillion dawn – flesh born
- lirik lagu basement superstar – private jet
- lirik lagu avril lavigne – losing grip (2022 remix)
- lirik lagu alestorm – magyarország
- lirik lagu mr. söze – yog+sothoth
- lirik lagu basement superstar – no doubt
- lirik lagu yion – old me