lirik lagu k son rap – ipe jina
ipe jina ile kininja navyochinja nipejina kama hitler..ukombozi wakifikra mchonga nipe jina kama ticha..jina langu linavuma kwenye mitaa..kiprofessor..kimahesabu epa nipejina ka lowasa..nipe guitar kama nesta..mcee..dj..machata na mabreker..nipe jina kama hip hop..mnipe jina roho7 ukija kwenye boxing unipe jina kama tyson..icon..unipe jina kama tycoon..elchapo nipe jina kama pablo..usiulize chem chem nipe jina kama rado..mjamaa nipe jina kama buff nimesema raff..kenya mnipejina khaligraph..gangstar nipe jina kama langa..soldier mnipe pisto na magwanda..kamanda wa kikosi mnipe jina kama pina..fake wananiogopa kama lucypher..kwenye soka unipe jina maradona..kella b mnipe jina mwanaboma..nalipua kama osama mnipejina..alqaida..mi ndo sugu mnipe jina kama taita..hii ni movie na hii script mi ndo writer..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu rayan & intifaya – one two one two exxxclusive
- lirik lagu bewdah b – i’m so l!t
- lirik lagu luvwillow – ribs like eugenia
- lirik lagu helado negro – t 2º dia (piano version)
- lirik lagu broke*59 – money time
- lirik lagu flus – bomaye
- lirik lagu lisa may – billion dolla bby
- lirik lagu ankhal – trap coast
- lirik lagu lil zeek – sunday morning
- lirik lagu 松浦亜弥 (aya matsuura) – 草原の人 (sougen no hito) (tsunku♂mix)