lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu juliani – biceps

Loading...

song: biceps
chorus
pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps
pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua mwanaume sio biceps

pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex
pia mi hu-cry kwa crisis
pia mi najua urembo sio cutex

verse 1
ma-thug wanateremka ka longi yangu niki-sag
futi sita chini sh-gs
jail ime-fail jaribu hugs
waonekani mtaani ka santa claus kinyozi
machozi ya kitungu
roho ya robocop
sarah alikuwa anataka mtoto naako menopause
ma-boy wanatafuta love kwa soap
washewana-define love na soap… opera
haisaidiika micheal jordan kununuakichana
eeh bana enda koinange street
cheki length ya skirt ya wa-she
hio ndio inaitwa mini-stry
mimi g
na-reason hivi

(chorus)

verse 2
ma-zero zikiwakwa paper ya exam
una-jam
lakini the more zikiwa kwa cheque book
unajisifu
venye unajua si hivyo huwa
kuvaa white haimaanishi angel
pengine ni ku klux klan
ku clash clad
nika mkristo anaenda club anaenda pub
si nywele yao ni wig
si shida ya macho ni weed
wana njaa usidanganywe na toothpick
ndio una twenty six inch rims
lakini ka wengine utaingia six feet deep
wana beba mandovu kwa wallet
lakini hawana nguvu ya kutoa msumari imewafunikia kwa casket
wana beba mandovu kwa wallet

(chorus)

verse 3
wazembe waezi chana nywele wakaita dredi
waliishiwa na unga wakaita uji
kukua busy sibidii
sote wezi ni venye tuj-patikana p3
i wonder tulikopesha ni grim reaper?
inatu-cost life yetu
dough haiezilipa
siku-choose kuingia hii dunia
pia sijui lini nita toka hii dunia
basi mimi nitajivunia
mbona mapenzi kabla pete inapuliza tumbo
kama ni hatia tunge fura mgongo
simbaya msichana na kijana ku-keep in touch

(chorus)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...