lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu joyce omondi – simba wa yudah

Loading...

#1 simba wa yudah usiyeshindwa
twainama mbele zako tukisema
wewe ni mfalme wa wafalme

hakuna kama wewe
simba wa yudah usiyeshindwa
twainama mbele zako tukisema
wewe ni mfalme wa wafalme
hakuna kama wewe
nitasimulia ukuu wako
nitatangaza upendo wako
nita~imba imba wimbo mpya
kwani hakuna kama wewe
simba wa yudah!

#2 matendo yako ni ya ajabu
mbingu na nchi pia zakusifu
ufalme wako wadumu milele
hakuna kama wewe
matendo yako ni ya ajabu
mbingu na nchi pia za kusifu
ufalme wako wadumu milele
baba mimi
nitasimulia ukuu wako
nitatangaza upendo wako
nita~imba imba wimbo mpya
kwani hakuna kama wewe
nitasimulia ukuu wako
nitatangaza upendo wako
nita~imba imba wimbo mpya
kwani hakuna kama wewe
wastahili sifa
twakuinua eeh bwana
wastahili sifa
pokea heshima
wastahili sifa
twakuinua eeh bwana
wastahili sifa
pokea heshima
wastahili sifa
twakuinua eeh bwana
wastahili sifa
pokea heshima
wastahili sifa
twakuinua eeh bwana
wastahili sifa
pokea heshima


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...