lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu josco boy – usikate tamaa

Loading...

yeaaah … josco boy

hapa duniani hakuna aliye kamilika
hapa duniani hakuna aliye kamilika
hujuwi ya moyoni mw~ngu
sijuwi ya moyoni mwako
niamini binadamu awana jema
nimeamini binadamu uuh
awana jemaa aah ooh
usikate tamaah ..aah

usikate tamaah aaah! (usikate tamaah)
usikate tamaah yooh (usikate tamaah)
usikate tamaah

maisha yetu magumu
atuna hata nafuu
atuna mda wakupumzika
atuna hata nafuu ooh

usikate usikate tamaah aah
(usikate eeeeh)
usikate usikate tamaah
maisha sote tunahangaika
jamani maisha sote
tunahangaika jaman
usikate usikate tamaah aahi
waone vijana wanavyo pambana
wamechoka wamechakaah
onah maisha yanavyo tisha
ona wenye tamaah wameshazikwa
ona wenye tamaah wameshazikwa
ali sio swari kabisa!
acha kujizarahauh achana na
maneno majungu
ali sio swari kabisa
acha kujizarahauh achana na
maisha safari ndefu
achana na maneno majungu

hapa duniani hakuna aliye kamilika
hapa duniani hakuna aliye kamilika

usikate usikate tamaah aah
usikate usikate tamaah aah
maisha sote tunahangaika
jamani maisha sote tunahangaika
jama ~ usikate usikate tamaah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...