lirik lagu jesse jeezus - ulinambia
ulinambia..
unataka future namii
asa ndo future gani hii
collabo mbovu ndo feature gani hii
ulikuwa photographer asa picha gani hii
washkaji walinambia ila bado nikabisha
nikiamini hakuna aliyekamilika
ila ukanisahisha..
tunamapungufu ila kuna watu sio wakuwapa maisha
acha kuhusu pete yote tisa
nilikupa biashara ukapagawa na aliyekuungisha
umenikwamisha…
safari umeikatisha..
eti upige simu hadi uone imethibitishwa
nahisi hukuk~mbuka ni wapi nikipokutoa
ila ulinambia mi nawewe mpaka ndoa
this smile on ma face ukaforce kuliondoa
penzi lilikuwa moto we ndo ukafanya likapoa
na skufichi sitamani ata kukuona
kitabu kina cover nzuri ila stamani kukusoma
nlikushibisha kila kitu ukaishia kula kona
sikusema nataka band asa why ukaleta ngoma
mamaaa ulizingua
kama uchafu kwanye nguo tayari nishakufua
home yupo wife ila niliishia kujichua
kw~ngu ulikuwa mzigo nashukuru nishakutua
nilivyokupa uhuru ndo nilikupiga chura teke
nakuhonga nawe unahonga maake apo kwanza nicheke
ukahisi utatengeneza maisha kwa ufundi wa kitanga
kudanga ukahisi ni sifa kichwani ulivyoplain kama manga
umejenga tabia kisha tabia ikakujenga
ulishindwa kujiendesha sababu mwenyewe tu ulipenda
ukajikuta zebra kila mtu anapita
ukiulizwa mi nani unasema you are my sister
oke my sister
kama ukoo umeuaibisha
sijaona binti mpumbavu kama we mamacita
yalienda wapi yale mahaba unakuja sijakuita
simu kila mara unanimiss kila dakika
photoshoot mapicha, matisheti k~mechisha
unanipost ka nimepotea na macaption ya sifa
kwa wana nilikutambulisha
hukuwa siri sikukuficha
ukasahau hakuna namba mpya baada ya 9
maana ghafla ulichange no calls no text
kitaani tetesi wanakula kiuwepesi
ukawa stress sio tena blessings
ukinipost status unacheza na settings
kaa kimya huna hadhi ya kusema
huu upuuzi uliofanya sio ujanja ni ukilema
ulijikuta beyonce bad girl rihanna
wakakutafuna vilivyo afu kisha wakakutema
ni mara ngapi umefumaniwa
uligeuka pop corn za mak~mbusho kila mtu anapatiwa
ilibidi uwe wewe hii pisi nayoichumbia
ilibidi uwe wewe ila unadai shetani alikupitia
men… asa alikupitia uende wapi
najua unawish ungebaki
sijui ni asili au tamaa inayomponza samaki
ashaona wenzio washanasa
afu bado ndoano anaifata
wenzio wanacheat sababu ya upweke
we unacheat sababu ya tamaa
ona umeishia kutumika tu
ila ni sawa si ulijiona wewe kifaa
sioni msg hadi niulize kwenye namba ipi
nilikupa kila kitu si ungesema unakosa kipi
ukafanya niache gambe, niache weed, nikaacha mziki
ila nilishindwa kukuacha wewe ata nilipojua unanicheat
huu upendo umeniponza
hisia zilinizidi akili ikashindwa kuniongoza
uwepo wako umetuchosha
uwepo wako unatosha
maana umetupa mateso uwepo wako hujatukosha
sometime najiona stupid
dalili nilizijua ila nikawa sish~tuki
as long ni maisha yako somehow sijutii
zawadi zote nishakupa iliyobaki ni ya mauti
am sure unajua nilikupenda
umeharibu maisha yako na huna nafasi ya kujenga
beki mzuri kilichokuponza ni chenga
hii ni siku yako ya nwisho na ni my day to remember
am sorry machizi zangu, brothers am sorry mama
long time hatukuwa sawa sababu ya huyu msichana
na sisubiri kinachoenda kirudi hili siiachii karma
nalimaliza mwenyewe hata simuachii maulana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yung fazo - kountinup
- lirik lagu jovem mark - flow bandido
- lirik lagu shadrach bennyboo - shattered
- lirik lagu hala - sins
- lirik lagu anura priyakelumudara samaraweera - duwillen ahanna
- lirik lagu synthblxxd - misery
- lirik lagu francis karel - dancing on your own
- lirik lagu ashy kash - there before you
- lirik lagu clayvon - bone thugs-n-harmony
- lirik lagu dewald wasserfall - die anderkant van liefde