lirik lagu jay melody – wenge
ooh boboo
ooh bobo
ooh boboo
vile moyo unapwita najionea sana huruma
nakaa chini nalia najiangalia sijitamani
chini na chimba na tafuta mzizi oh
najitafutia dawa usinga kwa hirizi
najiita mjinga j acha utoto
najiona mjinga wenge kimtindo
hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
umeondoa mchuma mama ngazi naachia
leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
penzi langu mama natamani irudi zamani
ah baby ayayaa
oh baby oh wo wo
inanichoma ayayaa
nakosa amani oh wo wo
ah baby ayayaa
inaniuma oh wo wo
najioneaga tu mabala ayayaa
ah wo wo oh mapenzi
ah mama oh yeyeaah
ah mama
basi mapenzi majani ila penzi lako gumu kung’oka
huwaga nalia sana nikik-mbuka tulipo toka
ningepata mwandani ila penzi lako linanyoosha
usinifanyie mimi hivi juwa vibaya
nitoe kwa ubaya my sweet mapenzi ndo haya
basi unisamehe mwaya mama mapenzi ndo haya
hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
umeondoa mchuma mama ngazi naachia
leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
penzi langu mama natamani irudi zamani
ah baby ayayaa
oh baby oh wo wo
inanichoma ayayaa
nakosa amani oh wo wo
ah baby ayayaa
inaniuma oh wo wo
najioneaga tu mabala ayayaa
ah wo wo oh mapenzi
oh mapenzi
oh baby
oooh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu binz da poet – ok
- lirik lagu krampbadass – getir sonu
- lirik lagu omorikun – monsters
- lirik lagu luzts – stupid love songs
- lirik lagu andrew blair – on everything
- lirik lagu elta – banane
- lirik lagu diamondminer69 – minecart
- lirik lagu hallman – what do we do to love
- lirik lagu fionn regan – hunting dog
- lirik lagu konco feat. passport & masgib – swang